Ads 468x60px

.

Tafuta Kila kitu Hapa

Monday, June 20, 2016

ukawa waziba midomo kwa karatasi na kutoka bungeni

 

Mbunge wa Vunjo (NCCR-Mageuzi), James Mbatia akizungumza na wanahabari nje ya ukumbi wa Bunge, mjini Dodoma. WABUNE wa Kambi ya rasmi ya Upinzani Bungeni, leo wameibuka na mtindo wa aina yake ndani ya Ukumbi wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, mjini Dodoma, baada ya kuamua kuziba midomo yao kwa kugundisha karatasi na plasta kisha kutoka nje ya ukumbi huo ikiwa ni adhima ya kueleza hisia zao za kutosikilizwa mapendekezo yao na Naibu Spika, Mh. Dkt. Tulia Ackson.
 

0 comments:

Post a Comment