Ni mmoja kati ya watu maarufu sana hapa nchini. Jina lake limetajwa sana, picha zake zimejitokeza mara nyingi kwenye vyombo vya habari na mitandao ya intaneti. Wakati Yussuf Makamba akiwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, mzee huyu alipata umaarufu kutokana na mchuano wao, anatajwa na Prof. Jay kwenye wimbo wake bongo Dar es Salaam. Huyu ni mzee Anthon Matonya a.k.a Rais wa Dodoma, taarifa nilizopata ni kwamba mzee huyu hatunaye tena. R.I.P Mzee Matonya