Subscribe:

Ads 468x60px

.

Tafuta Kila kitu Hapa

Monday, April 23, 2012

*LULU APANDISHWA KIZIMBANI LEO, KESI YATAJWA ARUDISHWA RUMANDE, KESI KUTAJWA TENA MEI 7 MWAKA HUU

Mshatkiwa Elizabeth Michael |(17), ' Lulu' akiwa chini ya ulinzi wa Polisi wakati akipelekwa kupandishwa kizimbani katika kesi inayomkabili ambapo kesi hiyo leo ilifika mahakamani hapo kwa ajili ya kutajwa kutokana na Upelelezi kuwa bado haujakamilika. Kwa mujibu wa Wakili wa Serikali Elizabeth Kaganda alisema mbele ya Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Kisutu, Rita Tarimo kuwa kesi hiyo itatajwa tena Mei 7 mwaka huu. Mtuhumiwa amerudishwa rumande. Picha na Mpiga Picha Wetu

0 comments:

Post a Comment