Subscribe:

Ads 468x60px

.

Tafuta Kila kitu Hapa

Thursday, April 12, 2012

ISEMEKANAVYO: KANUMBA ALIKUWA MFUASI NA AMEUWAWA NA FREEMASON

Kifo cha nguli wa filamu Tanzania kimezua utata mwingine baada ya watu kudai kwamba jamaa ameuwawa na Freemason.
Kabla na baada ya Kifo cha Steven Kanumba, Mwigizaji mahiri wa bongo movie na Star namba moja katika tasnia hiyo, kulikua na tetesi kwamba jamaa ni mfuasi wa dini ya freemason, na ndio uvumi ambao upo mtaani kwamba "Freemason wameamua kumchukua baada ya kwenda kinyume na masharti flani, kwa maana nyingine amesaliti dini iliyompatia umaarufu kwenye tasnia ya Bongo Movie"

Kama haitoshi Sasa hivi mtaani baada ya Kifo cha Kanumba kunatetesi za taarifa hizi za Ki freemason kwamba tayari kuna mtu eti ndo amekabidhiwa madaraka ya KiFreemason baada ya Kanumba kushindwa.Zifuatazo ni baadhi ya picha zinazoonyesha alama za mafreemason wanazotumia kwenye mambo yao, ni pozi ambazo kanumba naye alikua akizitumia hivyo hivyo,

Je kwa picha hizi nawe unaamini kwamba mpendwa wetu Steven Kanumba alikuwa Freemason? Kazi ni kwako!!

0 comments:

Post a Comment