Subscribe:

Ads 468x60px

.

Tafuta Kila kitu Hapa

Monday, March 5, 2012

TUKO LIKIZO-ORIJINO KOMEDI

 
Mara Baada ya magazeti mengi ya udaku jana nchini kuandika kwamba lile kundi la vichekesho nchini Original Komedi,ambalo linaonyesha vichekesho vyako kwenye runinga ya Taifa Tbc 1,kwamba limesambaratika ni uzushi mtupu...Kwa mujibu wa kiongozi na muasisi wa kundi hilo Sekion David amesema “Hayo ni maneno ya uzushi ya watu, mambo yetu sisi huwa hatupendi kuyazungumza hadharani, watu wako likizo baada ya muda watarudi hewani, ukienda kwenye website yetu huwa tunaandika kila kinachoendelea, hizo taarifa hazina ukweli wowote”Hata hivyo kwenye website yao, kuna tangazo linasema Orijino Komedi na timu nzima itakua likizo kwa mwezi january 2012 tu, baada ya hapo watarudi kazini.

0 comments:

Post a Comment