Subscribe:

Ads 468x60px

.

Tafuta Kila kitu Hapa

Friday, December 16, 2011

MWISHO MWAMPAMBA AFUNGA NDOA NA MERYL HUKO NAMIBIA

 Ilikuwa siku ya kupendeza kabisa kwa ndugu Mwisho Mwampamba na Mwanadada Merly kutoka Namibia kufunga pingu za maisha nikimaanisha ndoa na kuitwa mume na mke. Ndoa hii ilifungwa tarehe 10 mwezi huu wa 12 pande za Parliament Gardens Windhoek Namibia.Nawatakia maisha mema katika ndoa yenu pamoja na malezi mema ya mtoto wenu mliompa jina la Monkey.

0 comments:

Post a Comment