Subscribe:

Ads 468x60px

.

Tafuta Kila kitu Hapa

Friday, November 4, 2011

NDOA & MIMBA YA MAIMARTHA

MIMBA ya aliyekuwa mwendeshaji wa kipindi cha B&M kilichokuwa kikirushwa na Runinga ya TBC1, Maimartha Jesse ‘Mai’ yampelekesha, akiwa anajianda kufunga ndoa hivi punde

Akichonga na safu hii juzikikati jijini Dar, Mai alisema mimba hiyo inaonekana kumsumbua kutokana na kuchagua vinywaji hasa vyenye ladha ya orange au passion kwani akinywa tofauti na hivyo anasikia kichefuchefu.

“Tangu nipate ujauzito nimekuwa nikichagua vinywaji hasa vyenye ladha ya orange au passion na si vinginevyo, nikilazimisha kunywa tofauti na hivyo huwa nahisi kichefuchefu,” alisema Mai.

0 comments:

Post a Comment